Bold 9700 first class | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bold 9700 first class

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by emilwayne, Feb 12, 2012.

 1. emilwayne

  emilwayne JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauza bold 9700 ambayo nimenunua England kwenye company inaitwa 3, hii sio bold feck zinazouzwa tanzania.. RIM huwa wanaleta bidha za quality ya tatu africa and bidha ya quality ya 2 asia and quality ya kwanza u.k and u.s.a, Naiuza and haina tatizo lolote,charge inakaa, ina accesories zote + box lake lipo japo cm siyo mpya saana! Bei ni 450,000,or call 0713079282.. Kumbuka hii ni bold 9700 first quality class
   
 2. markach

  markach Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si imeshatumika, Ni PM mm nitakupa 250,000
   
 3. semango

  semango JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  me naitaka ila hiyo bei inapungua hata kidogo?
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  umetumia muda mwingi sana ku justify oooh uk unajua RIMs sijui wanaleta nini....kumbe umefulia unataka kuuza simu....hahaaa wapiga boksi mna mbwembwe mpaka basi
   
Loading...