Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Katika chat chat na watu nimekutana kuna watu wana Line 079****** nikawa nawauliza ni mtandao gani huu ndo wakanambia ni BOL wakasema wana promotion za kufa mtu e.g unapakua freely apps kutoka Google playstore ukiwa kwenye simu
Nilipoamka nikasema ngoja nikanunue line ya hawa jamaa nilichokiona ni hiki hapa kwenye image
primary goal yangu ilikuwa kwenye VPN maana ni MAGIC SIM lkn nikakuta ni 2G nikatupilia mbali line
jionee mwenyewe wala sikutaka hata ku-connect modem maana nimeinunua 1,000/- ikiwa na mda wamaongezi wa buku
nimesikia wana CDMA Technology ambayo iko more FAST
Pili wana-offer WIRELESS BRODBAND
kujiunga bundle
- DATA SIKU kwenda 100 (unapewa Unlimited internet without limit in usage/downloads kwa siku moja na bei ni 1,000/-)
- YASIKU kwenda 100 (Unapewa 15mins ambapo 10mins unapiga BOL tu na 5mins any tellecom provider bei 500/-)
Kwa wale mliowatumia hawa BOL karibu mtoeni EXPERIENCE hasa hasa kuhusu internet maana tunasoma thread hii kwa sabu tumeweza ku-acess internet yaani internet bila internet mambo hayaendi