mussadigital
Member
- Oct 22, 2011
- 47
- 25
wajameni hivi Sasatel wameishia wapi? ,wamefunga blanch zao
sasatel yamemkuta yapi? makampuni mengine lbd yana agenda za siri!wanapata ndio maana hawafungi makampuni yao bana..
Mimi nilishafunga ndoa na Vodacom kwenye shida na raha kwenye promo na pasipo promo.
Bado upo kwenye ndoa?