BOL Telecommunication Unlimited

BOL Telecommunication Unlimited

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
bsj5.jpg

Katika chat chat na watu nimekutana kuna watu wana Line 079****** nikawa nawauliza ni mtandao gani huu ndo wakanambia ni BOL wakasema wana promotion za kufa mtu e.g unapakua freely apps kutoka Google playstore ukiwa kwenye simu
Nilipoamka nikasema ngoja nikanunue line ya hawa jamaa nilichokiona ni hiki hapa kwenye image
x2b9.jpg

primary goal yangu ilikuwa kwenye VPN maana ni MAGIC SIM lkn nikakuta ni 2G nikatupilia mbali line
jionee mwenyewe wala sikutaka hata ku-connect modem maana nimeinunua 1,000/- ikiwa na mda wamaongezi wa buku
nimesikia wana CDMA Technology ambayo iko more FAST
Pili wana-offer WIRELESS BRODBAND
kujiunga bundle

  • DATA SIKU kwenda 100 (unapewa Unlimited internet without limit in usage/downloads kwa siku moja na bei ni 1,000/-)
  • YASIKU kwenda 100 (Unapewa 15mins ambapo 10mins unapiga BOL tu na 5mins any tellecom provider bei 500/-)

Kwa wale mliowatumia hawa BOL karibu mtoeni EXPERIENCE hasa hasa kuhusu internet maana tunasoma thread hii kwa sabu tumeweza ku-acess internet yaani internet bila internet mambo hayaendi
 
ila 2g ya cdma ina speed kidogo. kama inafika 20KBps kwa simu inatosha. ni dar tu au hadi mikoani?
 
Mimi nilishafunga ndoa na Vodacom kwenye shida na raha kwenye promo na pasipo promo.
 
huu mtandao ni janga,kama unaishi mahali ambapo nauli kuanzia k/koo ni zaidi ya sh 400 umeliwa.
 
bsj5.jpg

Katika chat chat na watu nimekutana kuna watu wana Line 079****** nikawa nawauliza ni mtandao gani huu ndo wakanambia ni BOL wakasema wana promotion za kufa mtu e.g unapakua freely apps kutoka Google playstore ukiwa kwenye simu
Nilipoamka nikasema ngoja nikanunue line ya hawa jamaa nilichokiona ni hiki hapa kwenye image
x2b9.jpg

primary goal yangu ilikuwa kwenye VPN maana ni MAGIC SIM lkn nikakuta ni 2G nikatupilia mbali line
jionee mwenyewe wala sikutaka hata ku-connect modem maana nimeinunua 1,000/- ikiwa na mda wamaongezi wa buku
nimesikia wana CDMA Technology ambayo iko more FAST
Pili wana-offer WIRELESS BRODBAND
kujiunga bundle

  • DATA SIKU kwenda 100 (unapewa Unlimited internet without limit in usage/downloads kwa siku moja na bei ni 1,000/-)
  • YASIKU kwenda 100 (Unapewa 15mins ambapo 10mins unapiga BOL tu na 5mins any tellecom provider bei 500/-)

Kwa wale mliowatumia hawa BOL karibu mtoeni EXPERIENCE hasa hasa kuhusu internet maana tunasoma thread hii kwa sabu tumeweza ku-acess internet yaani internet bila internet mambo hayaendi

Yani hata uje mtandao gani; Tanzania Vodacom ndo mtandao imara na wenye ubora wa hali ya juu kuanzia mijini hadi vijijini hii mingine itachukue muda kufikia ubora huu!!!
 
  • Hupaswi kumsahau AirTel
 
Yani hata uje mtandao gani; Tanzania Vodacom ndo mtandao imara na wenye ubora wa hali ya juu kuanzia mijini hadi vijijini hii mingine itachukue muda kufikia ubora huu!!!
.
Shinda 5,100pointi zaidi:
Wamfahamu Mbunge aliyepigwa teke Bungeni? Je anaitwa nan?
1.Mbowe
2.Sugu
Tuma 1au2 kwenda 15544!
 
Yani hata uje mtandao gani; Tanzania Vodacom ndo mtandao imara na wenye ubora wa hali ya juu kuanzia mijini hadi vijijini hii mingine itachukue muda kufikia ubora huu!!!

Tobah!!!! are you serious? Voda majambazi hawa ndo mtandao bora? Hawawezi hawa? Hawa wahuni wahuni hawa Voda hawa? Hawa waiba bundle hawa? Labda kama umefunga nao ndoa kwa zile vitu zetu labda. Ila ki ukweli ki uhalali hawafai hata kwa kuluangia kwa kachumbari! Fact.
 
mitandao mingine sijui ikoje, na sijui wanapataje faida!!
 
Back
Top Bottom