JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Habari wadau, Endapo kuna mtu aliyewahi kutumia Bol mobile Dar, tafadhali nipe mwanga kuhusu speed ya Internet ya hawa jamaa, maana naona bei zao ni rahisi ila ndo bado wapya.
Duh, noma sana. Mi nimewapigia wanadai ni 5mbps, Kesho wananilete laini, ngoja nionje kama chachu natemakuna mdau alisema ni edge hivyo piga ua garagaza utaishia 30kBps kama speed hutavuka.
labda uwe mgumu maana ni cheap nunua bundle 10 halafu tumia connectify
Habari wadau, Endapo kuna mtu aliyewahi kutumia Bol mobile Dar, tafadhali nipe mwanga kuhusu speed ya Internet ya hawa jamaa, maana naona bei zao ni rahisi ila ndo bado wapya.
Bado hiyo 5Mbps ni speed ya edge wee angalia modem za kibongo ni 7.2Mbps lkn kuna mda ni majanga kabisa...mm ninayo line nilipoichomeka kwenye modem ikasoma 2G nikatupa uvunguni hapo hapo

kuna mdau alisema ni edge hivyo piga ua garagaza utaishia 30kBps kama speed hutavuka.
labda uwe mgumu maana ni cheap nunua bundle 10 halafu tumia connectify
Mambo vipi chief. Hebu naomba nipige shule hapa. Hii connectify itatumika vipi kwa hii case. Natanguliza shukurani.