Boko haram

Status
Not open for further replies.

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Habari zenu wana jamvi!

Nimekuwa nikijiuliza kuhusu KUNDI LA BOKO HARAMU la huko NIGERIA ambalo linapigania kuweka utawala wa kiislam katika taifa la NIGERIA ila kiukweli nimeshindwa kuelewa hivi ni kweli hili kundi ni la kiislamu au ni wahuni tu walioamua kushika silaha na kuchinja watu bila huruma!?

Hivi kwa jinsi wanavyoua wanavijiji wakiwamaliza na wakafanikiwa kuuweka huo utawala wa KIISLAMU watawatawala watu gani!? Ni nani mfadhili hasa wa kundi hili?

Na mnauongeleaje uwezo wa jeshi la NIGERIA ni kweli wameshindwa kabisa kupambana na hawa watu!?

KAMA KUNA ANAYEIJUA VIZURI DINI YA KIISLAMU naomba atuambie dini inasemaje kuhusu kumuua mtu asiyekuwa na hatia!!???

NAWASILISHA NA MCHANGO WAKO NI MUHIMU.............
 
Kwa hili hakuna muislam atakaechangia!!! Ila subiri kibao kiwageukie ndo wa kwanza kuja kulalamika
 
Habari zenu wana jamvi!!!!
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu KUNDI LA BOKO HARAMU la huko NIGERIA ambalo linapigania kuweka utawala wa kiislam katika taifa la NIGERIA ila kiukweli nimeshindwa kuelewa hivi ni kweli hili kundi ni la kiislamu au ni wahuni tu walioamua kushika silaha na kuchinja watu bila huruma!!!!???? Hivi kwa jinsi wanavyoua wanavijiji wakiwamaliza na wakafanikiwa kuuweka huo utawala wa KIISLAMU watawatawala watu gani!? Ni nani mfadhili hasa wa kundi hili? Na mnauongeleaje uwezo wa jeshi la NIGERIA ni kweli wameshindwa kabisa kupambana na hawa watu!!??? KAMA KUNA ANAYEIJUA VIZURI DINI YA KIISLAMU naomba atuambie dini inasemaje kuhusu kumuua mtu asiyekuwa na hatia!!???
NASILISHA NA MCHANGO WAKO NI MUHIMU.............

Soma hii article unaweza kujifunza kitu:

Islamic Jihad and the Doctrine of Abrogation | Raymond Ibrahim
 
Jiulize na mauaji ya huko Central Africa waislam wanavochinjwa. ila Jf habari hii wanaipuuza , hii ndio bias ya udini.
Jiulize hao Seleka kwanza ndio uje na suala la boko haram. Tazama hii lakini picha zinatisha (warning).

ISLAM,Centrafrique,Central Africa,Christians burn Muslims alive - YouTube

Ni kweli Seleka waliua wakristu ndipo wakristu wakaanzisha Anti Barak ambayo nayo inalipiza kisasi ndo kisa hicho unachoongelea wewe ingawa yaelekea unasikia juu juu tu na unachukua hatua ya kutetea bila kufanya utafiti mpaka unawalalumu waislamu wenzio wa Seleka ambao ndo sasa wamegeuziwa kibao.
 
Jiulize na mauaji ya huko Central Africa waislam wanavochinjwa. ila Jf habari hii wanaipuuza , hii ndio bias ya udini.
Jiulize hao Seleka kwanza ndio uje na suala la boko haram. Tazama hii lakini picha zinatisha (warning).

ISLAM,Centrafrique,Central Africa,Christians burn Muslims alive - YouTube

Yanatokea uko sasa hivi ni kulipiza kisasi watu familia zao ziliuawa na waislam.
mim niliufatilia mgogoro toka mwanzo waislam walikuwa wanauwa wakristo baada ya yule rais muislam kuondoka ndio ulipizaji kisasi ukaanza.

Vita ya dini uwa haina mshindi wa kudumu cha muhimu wote kuheshimiana na kukaa vizuri kama tulivyo watanzania
 
Habari zenu wana jamvi!!!!
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu KUNDI LA BOKO HARAMU la huko NIGERIA ambalo linapigania kuweka utawala wa kiislam katika taifa la NIGERIA ila kiukweli nimeshindwa kuelewa hivi ni kweli hili kundi ni la kiislamu au ni wahuni tu walioamua kushika silaha na kuchinja watu bila huruma!!!!???? Hivi kwa jinsi wanavyoua wanavijiji wakiwamaliza na wakafanikiwa kuuweka huo utawala wa KIISLAMU watawatawala watu gani!? Ni nani mfadhili hasa wa kundi hili? Na mnauongeleaje uwezo wa jeshi la NIGERIA ni kweli wameshindwa kabisa kupambana na hawa watu!!??? KAMA KUNA ANAYEIJUA VIZURI DINI YA KIISLAMU naomba atuambie dini inasemaje kuhusu kumuua mtu asiyekuwa na hatia!!???
NASILISHA NA MCHANGO WAKO NI MUHIMU.............

hao si waisilamu ni wahuni wanaotumia mkono wa dini ya kiislamu dini yoyote inayoruhusu mauaji hii si dini tena
 
Huko Nigeria, inawezekana hao Boko Haramu walianza na ushawishi wa kidini lakini sasa hivi ni vurugu za siasa na Bangi tu. Kwa nchi kama Nigeria, na uwezo wa kifedha na kijeshi, haingii akili ni eti wanazidiwa na hao watoto wa Haramu. Mara nyingi unasikia kwamba wanajeshi waliondoka kwenye Doria ya malindi, ndipo boko Haramu wanashambulia. Yaani ni kama vile hawa chinjachinja Huwa wanapewa greenlight na askari, ndio wanashambulia. Kuna siri kubwa inafichwa huko Nigeria.
 
Mkileta kejeli za dini kamwe hamtokuja mapata majibu mazuri ya maswali yenu na kinyume chake tutawapigishwa kwata mpaka uzi utiwe kufuli au kufutwa.
 
Jiulize na mauaji ya huko Central Africa waislam wanavochinjwa. ila Jf habari hii wanaipuuza , hii ndio bias ya udini.
Jiulize hao Seleka kwanza ndio uje na suala la boko haram. Tazama hii lakini picha zinatisha (warning).

ISLAM,Centrafrique,Central Africa,Christians burn Muslims alive - YouTube

Anti balaka wanalipiza kisasi baada ya waislam kuua ndugu zao siku za nyuma. Lengo kubwa la anti balaka ni kuondoa waislam wote kwenye nchi hiyo ili waweze kuishi kwa amani katika siku zijazo, wamegundua nchi zenye waislam uishia kwenye vita. Mfano hapa Tanzania kuna mapadre wameuawa, makanisa kuchomwa moto, kama si uvumilivu wa wakristu wa Tanzania tungeisha ingia vitani
 
Wakristo anzisheni basi tuone.
 
dhulma zenu dhidi ya waislam ndo zinasababisha yote hayo
 
Wakristo anzisheni basi tuone.

Hata tukianzisha hakuna faida tutakayopata zaidi ya kuua watu ovyo halafu baadaye tukaanza kuombana msamaha, kuua watu si imani ya dini yangu, hao nitakaowaua kwa utashi wangu ni viumbe wa Mungu maana yeye ndie kawaumba hata kama si wadini yangu
 
Kwa hili hakuna muislam atakaechangia!!! Ila subiri kibao kiwageukie ndo wa kwanza kuja kulalamika

Udini ni sumu uwe mkristo au muislam; hivi hamna cha kujadili ili kuboresha maisha yenu zaidi ya udini??? Kenge nyie mnajifanya ngangari lakini siku ya siku hayo mnayoyahubiri yakitokea vigori nyie mtatoa damu za hedhi!
 
dhulma zenu dhidi ya waislam ndo zinasababisha yote hayo

Mbona Waarabu wako nyuma kimaendeleo, nani kawadhulum?, we kubali kwamba mkoloni wa kiarabu hakuwa na desturi ya elimu. Ndiyo maana wa Asia wenzake kama wachina, wajapan, wahindi wana technolojia kubwa na sasa wanapeleka vyombo mwezini. Kwa upande wa mwarabu hata kuchimba mafuta hawezi mpaka achimbiwe na wazungu apewe share
 
Boko haram maana yake elimu ya Magharibi haram! Hawataki elimu yote ya Magharibi!

Msimamo wao ni marufuku kuwa na Newton's laws of motion, Einstein, Galileo, Van der Waal forces etc.

Wanataka kuwe na Osama's First Law of motion! Ridhiwan's principle of mixture
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom