Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,684
- 44,016
Boko haram maana yake elimu ya Magharibi haram! Hawataki elimu yote ya Magharibi!
Msimamo wao ni marufuku kuwa na Newton's laws of motion, Einstein, Galileo, Van der Waal forces etc.
Wanataka kuwe na Osama's First Law of motion! Ridhiwan's principle of mixture
wakija, muda si mrefu mods wataiondoa thread.
Mbona Waarabu wako nyuma kimaendeleo, nani kawadhulum?, we kubali kwamba mkoloni wa kiarabu hakuwa na desturi ya elimu. Ndiyo maana wa Asia wenzake kama wachina, wajapan, wahindi wana technolojia kubwa na sasa wanapeleka vyombo mwezini. Kwa upande wa mwarabu hata kuchimba mafuta hawezi mpaka achimbiwe na wazungu apewe share
Jiulize na mauaji ya huko Central Africa waislam wanavochinjwa. ila Jf habari hii wanaipuuza , hii ndio bias ya udini.
Jiulize hao Seleka kwanza ndio uje na suala la boko haram. Tazama hii lakini picha zinatisha (warning).
ISLAM,Centrafrique,Central Africa,Christians burn Muslims alive - YouTube
Hivi kweli kuna mkrito mwenye akili anatoka kwenye ukristo na kuhamia uislamu.
Boko haram maana yake elimu ya Magharibi haram! Hawataki elimu yote ya Magharibi!
Msimamo wao ni marufuku kuwa na Newton's laws of motion, Einstein, Galileo, Van der Waal forces etc.
Wanataka kuwe na Osama's First Law of motion! Ridhiwan's principle of mixture
Wakristo anzisheni basi tuone.
zipo nyingi zinazopingana, wafuate ipi waache ipi?. Boko Haram wamefuata aya hizi hapa, sio kosa lao, wanatimiza matakwa ya dini yao.Mstari wa 33 chapter ya 17 katika kuruani inakataza mauaji yasiyo na sababu ya msingi.Sidhani kama boko haram usomaga haya hizi wangekuwa wanasoma wasingeua watoto wa shule