Inasikitisha sana kuona vile kundi la boko haram linavyowatesa na kuwanyanyasa mabinti waliowateka. Hali inazidi kuwa mbaya hasa baada ya serikali kukataa kuwaachia wanachama wa BOKO wanaowashikilia. Nini itakuwa mwisho wa mabinti hawa ikiwa Serikali ya Nija itaendelea kugoma kutii matakwa yao?