Boko Haram attacks Federal Govt College Yobe, kills 29 students

Boko Haram attacks Federal Govt College Yobe, kills 29 students

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018

Boko-Haram-2.jpg

​
Men suspected to be members of the Islamic Sect, Boko Haram, today Tuesday Feb 25th launched an attack on students of the Federal Government College Buni-Yadi Yobe state, killing 29 students (or more), Hausa Service BBC reports. Some buildings in the school were also reportedly razed.

Sources at the school said the men invaded the school in the early hours of this morning while the students were still sleeping in their hostels and slaughtered them. Guns were not used in the attack as was the sect's usual practice, probably to avoid the attention of people. They used machetes.

The Federal Government College Buni Yadi is a co-educational institution located some 55km south of Damaturu the Yobe State capital. This is the fourth attack on secondary schools since the inception of the sect members.
 
Kweli unyama gani hata kwa wanafunzi wasio na hatia. Si wagombane na wenye serikali? Kweli kama ni dini ni dini ipi ainahalalisha mauaji ya wasio kuwa na hatia. So sad.
 
Dini itakuwa kizingizio tu watu hao wanatakiwa kupimwa akili sio wazima kabisa.
 
very sad, umepeleka mtoto shule unarudishiwa maiti nyumbani, bila kuambiwa kuwa mtoto wako anaumwa, ila unapewa taarifa kuwa kauawa na wafia dini. inasikitisha sana

Wafia DINI ya kuuondosha uhai wa mtu asiyena hatia.Mungu anajitetea mwenyewe na kuwalinda watu wake tangu lini bin adamu akamtetea Mungu ,Wanakosea sana kumfanya Mungu hana uwezo wa kujitetea na kuwatetea watu wake mpk wao wamtetee Malipo yao yanakuja.Mungu awatie nguvu wafiwa wote
 
Dini ya shetani, mapepo yanahitaji damu kwa hakika hakuna mtu awezaye kufanya unyama huu akiwa na akili zake timamu must be demon possessed
 
Wenyewe wanaamini kwa hayo mauaji milango ya peponi ipo wazi......walaaniwe kabisa mashetani hao.
 
Wafia DINI ya kuuondosha uhai wa mtu asiyena hatia.Mungu anajitetea mwenyewe na kuwalinda watu wake tangu lini bin adamu akamtetea Mungu ,Wanakosea sana kumfanya Mungu hana uwezo wa kujitetea na kuwatetea watu wake mpk wao wamtetee Malipo yao yanakuja.Mungu awatie nguvu wafiwa wote
ndg yangu yaani weee acha tu inauma sana moyoni. Kuzika mtoto wako ni moja ya mambo yanayofadhaisha sana. Tunafurukuta mchana na usiku kwa ajili yao halafu eti jitu kwa roho mbaya yake linakuulia mtoto wako, inauma sana kuzika mtoto, ni heri mtoto anizike mimi sio nimzike yeye!!
 
"wanaodhaniwa" so far hakuna confirmation, wale wanaoua kule afrika ya kati inaonekana kawaida tu,acheni unafki
 
dah! ao watu inabid ata akishikwa mmoja wawanyongwage 2 mmoja mmoja nakurushwa kwenye tv labda inaeza ikasaidia..
 
Nigeria waombe ata majeshi kutoka nje waliteketeze hili kundi la boko haram
 
Nalaani mauaji haya yaliofanywa na waliofanya ikiwa ni Hao Boko haram, Serikali au kikundi chochote ili kuwaflame wengine mimi nalaani ni mauaji ya kinyama. Hata hivyo haya mauaji kama yametendwa na kikundi hicho cha Boko haram ni wakati sasa wa serikali zote zinazodhulumu wengine hasa kuwaua waislamu mfano Afrika ya Kati wakomeshe vitendo hivyo. Hakuna maumivu machungu kama kuuliwa ndugu yako, baba au Mtoto. Unapomuua ndgu wa mwengine naye kuna siku atakuja kulipiza bila kujalisha anamlipizia nani, iwe mtoto au mama au mzee ataua. Haya ndio yanayotokea Somalia, Kenya, Afganistan, Pakistan, Iraq, na kwingineko. Madege yasio na marubani, drones huua waislamu katika nchi hizo bila kuchagua ni nani wa kumuua mnadhani hawa wanaoteswa na kuuliwa kiasi hiki hawana mioyo? Hawana roho? Tumekuwa tukilaani matokeo kila siku badala ya chanzo sasa kwahali hiyo mnadhani tatizo litaisha au ndio kuchochea kuni? Narudia dini ya uislam u haina mafundisho ya kuua wasio na hatia hata ikiwa ni makafir au ni kina nani. Uislamu ni dini iliyo na taratibu, sharti zake na sheria zake katika kila ibada. Ikiwa hata ni kulipiza kisasi kuna taratibu na shuruti zake. Na kama wasemavyo wanasheria wa kiislamu unapokosea sharti basi hata lililoshurutiwa hukosekana. Kwahiyo matukio haya hayana uhusiano na dini hata mtu akidai ametenda kwa mujibu wa dini.
 
Kule Africa ya kati ni revenge dhidi ya magaidi.

Ohoo! Kumbe!? Je na wewe ukija kufyatuliwa na hawa waislamu wanaoteswa utasema pia ni revenge au sio? Kauli yako chafu isiyo na ubinadamu ndani yake inatosha kukuwajibisha kwa kufa kama wanavyouliwa wale masikini, watoto, wanawake na wazee kule Afrika ya kati.
 
Wafia DINI ya kuuondosha uhai wa mtu asiyena hatia.Mungu anajitetea mwenyewe na kuwalinda watu wake tangu lini bin adamu akamtetea Mungu ,Wanakosea sana kumfanya Mungu hana uwezo wa kujitetea na kuwatetea watu wake mpk wao wamtetee Malipo yao yanakuja.Mungu awatie nguvu wafiwa wote

Ni sura nyingine tu ya SHETANI hiyo hakuna Mungu hapo, Inasikitisha sana
 
dah! ao watu inabid ata akishikwa mmoja wawanyongwage 2 mmoja mmoja nakurushwa kwenye tv labda inaeza ikasaidia..

Hauna fikra mbadala zaidi ya hii? Do you think Boko haram wanaogopa kufa kama wewe?
 
C.A.R wananchi wenyewe waliamua kuchukua hatua baada ya serikali kushindwa, nawashauri watu wa Nigeria nao wachukue hatua kama za C.A.R . Japo za Nigeria ziwe na akili kidogo. Si kila mwislam ana akili za mauaji ama uharibifu, ni washenzi wachache watumiao mwamvuli wa uislamu (japo wakati wanayafanya hayo waislam wenye akili hukaa kimya) targeted group should be BOKO HARAM and mot mosques or other muslims..... watafaulu tu
 
Back
Top Bottom