nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Ikiwa lengo lenu ni kuufanya uislamu uonekane sehemu ya ugaidi unadhani lini mtautenganisha na huo ugaidi? Ikiwa lengo ni kuuchafua ili wasiofanya research kuamini hizo cheap propaganda unadhani lini utakuwa kinyume na ugaidi? Nyie fanyeni mnalolitaka kuhusu kuuhusianisha uislamu na ugaidi lakini kamwe hamtoweza kufikia malengo yenu.
Kataeni kwanza nyinyi haya makundi yanaua watu kwa kisingizio cha waislam kuonewa na nyie mnakubali. Hakuna aisiyejua kuwa boko haramu ni kikundi cha kigaidi kinachojinasibisha na dini ya kiislam sasa waislam safi wako wapi kuvipinga vikundi hivi?