Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
YAPASWA KUKUMBUKA TULIKOTOKA:
Nauhakika kabisa kwa hiki kizazi cha "Supra" hakuna hata mmoja aliyekwisha pitia zama hizi za kuchonga Panck, Kiduku enzi hizo vinaitwa vijogoo, freshi ya unga,Panki, Panki Singa, Afro na kitu cha Para...
Nakumbuka kipindi hiki ni miaka ya 1990's kulikuwa hakuna sijui HAIR CUTTING SALOONS, BARBERSHOPS yaan ni mwendo wa mikasi na viwembe tu....sasa wataalamu walikuwa wachache sana na hii ilidhihirisha ufundi wa kinyozi na sio zama hizi ukijua kushika mashine tu basi unakuwa kinyozi.
Najua maendeleo ya sayansi na teknolojia ila tukubali kwamba yanakuja na kupoteza vitu vingi sana vya asilia japo ni lazima tuwe na maendeleo hasa ya sayansi na teknolojia.
Kwa upande mwingine, unyoaji huu ulikuwa unatuepusha na magonjwa maambukizi hususani Yale ya ngozi. Pia najua tumepoteza vipaji vingi saana vya hawa jamaa waliojihusisha na shughuli ya kinyozi.
Nini maoni yako juu ya hili??
#by adimn Mussa M.