Ukiwa na CPSP unaweza kufanya masters lakini changamoto yake ni kwamba itakuwia vigumu sana kupata ajira kwa kuwa taasisi na mashirika mengi yanatambua DIPLOMA na Degree kutoka vyuoni hivyo they dont bother na watu waliofika juu kupitia Professional Boardies.Ukiwa umemaliza kozi za professional body kama NBAA (CPA[T]), unakuwa level moja na mtu aliyesoma chuo na kuhitimu ngazi ya Masters.
Ukitaka kurudi kusoma chuo, unaweza kusoma Masters au PhD, kadiri utakavyopenda.
Hii inatokana na kuwepo kwa mfumo wa ulinganishaji elimu (National Qualifications Framework, NQF au TzQF / University Qualifications Framework, UQF).
Elimu ya Ufundi Katika
Hata uwe na digrii yoyote au kuna limitations pia katika aina ya digree?Ukiwa na CPSP unaweza kufanya masters lakini changamoto yake ni kwamba itakuwia vigumu sana kupata ajira kwa kuwa taasisi na mashirika mengi yanatambua DIPLOMA na Degree kutoka vyuoni hivyo they dont bother na watu waliofika juu kupitia Professional Boardies.
Ushauri wangu usifanye mitihani ya bodi kuanzia ngazi za chini.Fanya degree yako then kafanye stage mbili za mwisho upate CPSP yako. Vinginevyo utakuwa na highest qualification kwenye field lakini hutakuww hata shortlisted kwenye kazi.
Ukiwa na degree au diploma tayari haina shida,whether iwe ya manunuzi au ya fani nyingine.Changamoto iko kwa wale wanaoanzia Foundation na kuendelea mpaka CPSP.Hata uwe na digrii yoyote au kuna limitations pia katika aina ya digree?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app