Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Hiyo si hoja kweli wantuzidi kipesa lakini sisi tuna tatizo kubwa zaidi ya kutokuwa na pesa hata uchunguzi wa kulipuka mabomu mbagala, Gongo la Mboto uko ndani ya uwezo wetu kipesa lakini matokeo ni bilabila na juzi week iliyopita kulikuwa na tishio la kulipuka mabomu menginekambi ya Kunduchi kwa madai ya mitikisiko ya barti za kuvunjia kokoto nako yakilipuka usanii mwingine
Sijui unaongelea tukio gani mkubwa. Hoja yangu ni kwamba hela ya kutosha inahitajika kwene operation kubwa kama hii ya Air France..hiyo ndo hoja yangu. Of course kuna suala la utashi nk lakini bila pesa operation kama hii haiezi fanyika. Thats that.