Body recovered from Air France plane wreckage

ByaseL

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
2,225
Reaction score
249
Paris (CNN) -- The body of one of the victims of Air France Flight 447 was recovered from deep in the Atlantic Ocean, French authorities said Thursday.
Even though the body had been submerged for two years, authorities were able to locate it. It was still attached to the seat of the Air France plane, the French Foreign Ministry said.
The announcement comes days after the cockpit voice recorder from the flight was located.
The Air France plane crashed mysteriously nearly two years ago, killing all 228 people on board.
The plane crashed in stormy weather en route to Paris from Brazil on June 1, 2009. It took nearly two years and a massive undersea search to locate the bulk of the wreckage.
 
Kweli wazungu ni Noma, yaani wamefatilia hadi wamepata mabaki ya ndege na vifaa muhimu, ingekuwa kwetu bongo wangeunda tume then wakala posho na wasifanye kazi. Bongo bado tupo nyuma miaka 1000.
 
Imetumika hela nyingi sana mkulu..usione vyaelea.
 
Mkubwa hii ilikuwa muhimu sana ili kusaidia uchunguzi wa kujua chanzo halisi cha ajili. Ukishajua ajali ilisababishwa na nn utaweza kuchukua hatua madhubuti dhidi ya tatizo kama hilo. Ndio maana waliikomalia sana hii issue. Kuna utakumbuka ajali ya concorde 1999 walikomaa miaka miwili kuchunguza hadi wakaja kugundua matatizo kwenye mfumo wa ndege na wakarekebisha. Sisi tuendelee tu kujivua magamba!
 
Lakini matokeo yameonekana sio sawa na sisi tusingeona matokeo !
Matokeo yamepatikana baada ya pesa kutumika..hakuna mwujiza hapo. Hata sisi tungekuwa na hela tungefanya hivohivo.
 
Kweli wazungu ni Noma, yaani wamefatilia hadi wamepata mabaki ya ndege na vifaa muhimu, ingekuwa kwetu bongo wangeunda tume then wakala posho na wasifanye kazi. Bongo bado tupo nyuma miaka 1000.

I believe saa ingine hata ile nafasie ya nchi yenyewe ina play part. Hao watu wako fit Technologically, scientifically, intellectually and determination in finding results na bado itakua imewachukua pesa nyingi sana. Sasa TZ na umaskini wetu huu serkali yetu itake kufanya hivyo (tena kwa kuajiri watalaam toka nje) naamin hata sisi wananchi tusingeelewa kabisa.

Lakini hata hivyo ufaransa wanastahili pongezi...
 
Matokeo yamepatikana baada ya pesa kutumika..hakuna mwujiza hapo. Hata sisi tungekuwa na hela tungefanya hivohivo.

Kwani we unataka hela gani??mabilioni yote yanayopotea kwenye tume huzioni??mara leo TRA inalipwa bil 30,mara Barick inalipwa bil 200,maara dowans bil 98...mara...mara...eeh kweli watu tumetofautiana!!!
 
Nani alikuambia sisis hatuna hela? Kama hatuwezi kufanya madogo kwa hela tulizonazo, hatuwezi kufanya makubwa.
Hela sio makaratasi. Hela ni ubongo wako, aridhi na matunda yake, na muda. Vyote hivi Mungu katujalia kuzidi hata wazungu
 
Kweli wazungu ni Noma, yaani wamefatilia hadi wamepata mabaki ya ndege na vifaa muhimu, ingekuwa kwetu bongo wangeunda tume then wakala posho na wasifanye kazi. Bongo bado tupo nyuma miaka 1000.

Mv Bukoba imezama umbali mita 300 chini ya maji hakuna anayejishughulisha kwenda kuwaopoa ndugu zetu..hii nchi bana.
 
Matokeo yamepatikana baada ya pesa kutumika..hakuna mwujiza hapo. Hata sisi tungekuwa na hela tungefanya hivohivo.

Tofauti yetu na wao ni MTAZAMO (MINDSET); Sisi tunafikiria - NITAPATA PESA KIASI GANI? na wao wanafikiri - NITAFANIKISHAJE JUKUMU HILI ?. Kwa hiyo mtu anapopewa jukumu la kutekeleza anaangalia zaidi jinsi ya kuleta mafanikio/mabadiliko/suluhisho katika jukumu hilo. Lakini sisi tunafikiria kupitia wajibu/jukumu nililopewa nitanufaika vipi, ikiwa pamoja na kukamilisha mipango yangu kama kununua gari, kujenga nyumba n.k.
 
Kwani we unataka hela gani??mabilioni yote yanayopotea kwenye tume huzioni??mara leo TRA inalipwa bil 30,mara Barick inalipwa bil 200,maara dowans bil 98...mara...mara...eeh kweli watu tumetofautiana!!!

Na hoja yako ni nini?
 
Nani alikuambia sisis hatuna hela? Kama hatuwezi kufanya madogo kwa hela tulizonazo, hatuwezi kufanya makubwa.
Hela sio makaratasi. Hela ni ubongo wako, aridhi na matunda yake, na muda. Vyote hivi Mungu katujalia kuzidi hata wazungu

Hatuna hela labda kama unakubali kuishi kwene ndoto.
 
Tofauti yetu na wao ni MTAZAMO (MINDSET); Sisi tunafikiria - NITAPATA PESA KIASI GANI? na wao wanafikiri - NITAFANIKISHAJE JUKUMU HILI ?. Kwa hiyo mtu anapopewa jukumu la kutekeleza anaangalia zaidi jinsi ya kuleta mafanikio/mabadiliko/suluhisho katika jukumu hilo. Lakini sisi tunafikiria kupitia wajibu/jukumu nililopewa nitanufaika vipi, ikiwa pamoja na kukamilisha mipango yangu kama kununua gari, kujenga nyumba n.k.

Kuna article nimesoma kwamba kampuni na serikali viligharamia huo mchakato. Na pesa ndefu imewatoka kuanzia kulipa fidia mpaka kwene huu uchunguzi ambao ulibidi kurejewa baada ya mwanzoni vifaa kutokufua dafu. Kama madhumuni yao yanajustify cost, wana haki ya kufanya hivo na pesa wanayo, hiyo ndio hoja yangu hapa.
 
Mkubwa hii ilikuwa muhimu sana ili kusaidia uchunguzi wa kujua chanzo halisi cha ajili. Ukishajua ajali ilisababishwa na nn utaweza kuchukua hatua madhubuti dhidi ya tatizo kama hilo. Ndio maana waliikomalia sana hii issue. Kuna utakumbuka ajali ya concorde 1999 walikomaa miaka miwili kuchunguza hadi wakaja kugundua matatizo kwenye mfumo wa ndege na wakarekebisha. Sisi tuendelee tu kujivua magamba!
Hivi tulishajua chanzo cha kuzama Meli ya Mv Bukoba?
 
Kuna article nimesoma kwamba kampuni na serikali viligharamia huo mchakato. Na pesa ndefu imewatoka kuanzia kulipa fidia mpaka kwene huu uchunguzi ambao ulibidi kurejewa baada ya mwanzoni vifaa kutokufua dafu. Kama madhumuni yao yanajustify cost, wana haki ya kufanya hivo na pesa wanayo, hiyo ndio hoja yangu hapa.

Hivi wew Abdul mbona unag'ang'ania 'pesandefu' 'pesa ndefu' ...weka figure basi tuchambue vizuri...tuone kama hela yake imefika walau bil 100 ya nyumbani. Tushirikishe hiyo article uliyosoma. Weka link,acha ubabaishaji bana!!
 
Hatuna hela labda kama unakubali kuishi kwene ndoto.

Hiyo si hoja kweli wantuzidi kipesa lakini sisi tuna tatizo kubwa zaidi ya kutokuwa na pesa hata uchunguzi wa kulipuka mabomu mbagala, Gongo la Mboto uko ndani ya uwezo wetu kipesa lakini matokeo ni bilabila na juzi week iliyopita kulikuwa na tishio la kulipuka mabomu menginekambi ya Kunduchi kwa madai ya mitikisiko ya barti za kuvunjia kokoto nako yakilipuka usanii mwingine
 
Hivi wew Abdul mbona unag'ang'ania 'pesandefu' 'pesa ndefu' ...weka figure basi tuchambue vizuri...tuone kama hela yake imefika walau bil 100 ya nyumbani. Tushirikishe hiyo article uliyosoma. Weka link,acha ubabaishaji bana!!

Dude what wrong with ya? umeuona mchana?
 
Back
Top Bottom