misoprostol
Member
- Feb 6, 2013
- 14
- 1
Kuna namna nyingi za kuwasiliana baina ya mtu mmoja na mwingine especialy the one you are interested to create a sexual relationship with. Hebu nipeni maujanja ya FLIRTING na BODY LANGUAGE. Ni kwa namna gani zinaweza kutumika na kufanya mtu akuelewe without kikwazo or misenterpretation.