Nature ya jf inasababisha watu kuogopa kukutana, ingawa inawezekana ukakutana na mtu pm na mkakubaliana.Kufanya mazoezi mwenyewe especially kwa watu ambao hawana tamaduni hiyo, mwanzo ni mgumu sana
Ingekuwa pouwa Sana, watu wa karibu kuungana hv wanakutana sehemu piga zoezi then call it a day
Dude nimepitia uzi wako vizuri. Ngoja niseme kitu.Nitafanya squats, inaaminika kilo unazopiga benchi ndiyo kilo unazoweza kusquat hivyo mzigo wangu ni huu.
View attachment 498692
Na nitaongeza plates za kama jana.
Muda wa kupumzika kwenye squats nitakua nafanya sit ups.
View attachment 498693
Gym hii haina leg press hivyo nitafanya mbadala wake, na mazoezi mengine yote yatakayohusu squats na mzigo, mzigo utakaotumika ni ule wa kwanza.
Jana nilifanya biceps, leo nitafanya triceps.
View attachment 498694
Reps 20, na hizo za pembeni ni plates za kupanda nitafanya skullcrushers na reverse grip skull crushers kwa mtindo huu huu wa kupanda kila baada ya raundi mbili.
Nitatumia dumbbells kufanya parallel extensions na overhead extensions.
View attachment 498695
Nitafanya cable pull down, kwa parallel bar na kamba.
Kuna push ups za triceps nilielekezwa na Kimbendengu hizo nitazipiga mwishoni baada ya zoezi la triceps.
...
Huwa siend gym namalza mwenyewe, aim sio ku bulk bt kuwa strong n sipend ku shled sana.
Kama vip tufungue group ili tuwe huru zaid
Well n good.Mkuu hata mimi hua nainvest kwenye push ups sometime nikiwa sipo gym, niliandika hadi uzi wa jinsi ya kujenga mwili kwa push ups.
Kinachofurahisha kwenye push ups unaweza kuzimodify kwa kadri unavyotaka kua challenged.
Idea ya grup ni nzuri, kuna mdau alisema ataifanyia kazi.
Please check out this thread.Well n good.
Jus creat group weka link watu watajoin no need ya kuhangaika kukusanya digits za watu.
Push ups tamu huwe umetundika miguu, uta zifeel.
Tena usipige haraka haraka kama wataka ku bulk au kuwa storng peleka pole pole muscle zisikie weight, ila kama aim ni pumzi kama zile za watu wa karate fasta fasta.
Kama ku bulk hutak andaaa gogo lako piga ngumi mingi baada ya push ups maan utaona after wik mtu unavyokuwa strong.