laskaboza Senior Member Joined Jun 8, 2020 Posts 144 Reaction score 1,601 Nov 8, 2021 #1 Habarini, Hivi board ya watu waliosomea Computer Science ni ipi? Au ndio hii ya Engineering?
kunta93 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 770 Reaction score 1,659 Nov 8, 2021 #2 Bodi itakuepo tu ila huenda isiwe ya computer science bali ikawa inajumuisha computer science.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,819 Reaction score 56,296 Nov 8, 2021 #3 laskaboza said: Habarini, Kuna ndugu yangu hapa anauliza kama kuna registration board ya watu waliosomea Computer Science. Ameshatafuta sana mtandaoni ameishia kukutana na ya Engeering tu. Mwenye kujua kuhusu hili anijuze tumsaidie kijana wetu. Click to expand... Hakuna bodi ya watu wa computer science. Ila kuna bodi ya watu wa IT kwa ujumla.
laskaboza said: Habarini, Kuna ndugu yangu hapa anauliza kama kuna registration board ya watu waliosomea Computer Science. Ameshatafuta sana mtandaoni ameishia kukutana na ya Engeering tu. Mwenye kujua kuhusu hili anijuze tumsaidie kijana wetu. Click to expand... Hakuna bodi ya watu wa computer science. Ila kuna bodi ya watu wa IT kwa ujumla.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,628 Reaction score 197,285 Nov 8, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...