Bodi ya wanasheria ni muhimu kwa taifa hili

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Kitendo cha serikali kutangaza kupeleka mswaada wa kuundwa kwa bodi ya wanasheria ni jambo la kupongezwa sana na wananchi.Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti wanasheria wasio na nidhamu wanaoiabisha fani muhimu sana ya sheria kwa maslai yao binafsi au kwa maslai ya vibaraka wao.
 
Hivi kumbe kwa miaka mingine yote hiyo hautukuwa na board ya wanasheria?

Maajabu mengine haya.
 
Mkuu mtoa hoja, kwa mambo usiyoyajua, ni heri ukakaa kimya. Mambo ya kisheria na sheria kwa ujumla hayahitaji uropokaji na ushabiki kama ufanyavyo wewe. Jitenge mbali na mambo haya ambayo hujui chochote kuhusu mambo mengine. Mambo ya kupigia porojo zako yako mengi. Kindly be advised!
Elimu yake kama ameenda sana ni std 7, achana na huyu kilaza mkuu.
 
Huyu jamaa japokuwa kajificha nyuma ya ID yake....lakn am sure hizi message za majibu ametoa chozi

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mtoa hoja, kwa mambo usiyoyajua, ni heri ukakaa kimya. Mambo ya kisheria na sheria kwa ujumla hayahitaji uropokaji na ushabiki kama ufanyavyo wewe. Jitenge mbali na mambo haya ambayo hujui chochote.Mambo ya kupigia porojo zako yako mengi. Kindly be advised!
Safi sana Mkuu waeleweshe hao waropokaji

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Petro E. Mselewa

saf sana kaka. Huyu jamaa amekua anapost sana mambo ya kishabiki ktk jukwaa la siasa. Amejisahau na kuzan sheria ni siasa
 
Back
Top Bottom