JOYCE PAUL JF-Expert Member Jan 8, 2010 1,005 82 Jul 2, 2012 #1 Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na tuchambue cv zao...
Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na tuchambue cv zao...
L Lugeye JF-Expert Member Apr 18, 2011 1,679 2,914 Jul 3, 2012 #2 rais na waziri ndo wanaowachagua na zaid wanapeana kiushikaji tu,
Jackbauer JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,038 2,199 Jul 3, 2012 #3 mara ya mwisho katika kumbukumbu zangu mwenyekiti wa bodi alikuwa Abrahaman kinana
Ngongo JF-Expert Member Sep 20, 2008 18,933 31,178 Jul 3, 2012 #4 Kinana si chaguo sahihi ndiyo maana Muhimbili imechoka. Jackbauer said: mara ya mwisho katika kumbukumbu zangu mwenyekiti wa bodi alikuwa Abrahaman kinana Click to expand...
Kinana si chaguo sahihi ndiyo maana Muhimbili imechoka. Jackbauer said: mara ya mwisho katika kumbukumbu zangu mwenyekiti wa bodi alikuwa Abrahaman kinana Click to expand...