Bodi ya uhasibu NBAA mnakera

Bodi ya uhasibu NBAA mnakera

Double K

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
907
Reaction score
343
Habari, NBAA nendeni na technologia ya sasa watu wafanye regislation on line taasisi kubwa kama ile watu wanakimbizana na makaratasi kama tunaanza form one. Mjue mnaudumia watu wa sehemu mbali mbali, fanyeni online tukutane kufanya mitihani na kuchukua ID incase hauna. Kinachoudhi hata kwa wanaoendelea inabidi mwende na makaratasi this is crazy, you need to change.
 
Bila kusahau website yao,mbayaaaaa kama nini,sijui hela wanapeleka wapy..
 
Yani wanaendesha mambo kizamani mno
 
Karibu katika fani. Ukimaliza piga miaka 3 uwe Associate Auditor!
 
acha uvivu hayo ndo matokeo ya deadline, ungelipia mapema huo usumbufu usingekabiliana kiukweli nbaa wanajitahidi sana kucomply na standard zao walizojisetia

karibu kwenye dunia ya weredi
 
acha uvivu hayo ndo matokeo ya deadline, ungelipia mapema huo usumbufu usingekabiliana kiukweli nbaa wanajitahidi sana kucomply na standard zao walizojisetia

karibu kwenye dunia ya weredi
sio deadline, mi nilienda mapema tu wakaniambia sasa hivi wanapokea freshers kwanza njoo siku nyingine sasa nimeenda ndio nakuta watu wengi kweli, kiukweli they need to change.
 
Back
Top Bottom