Bodi ya mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by abdallah masoud mrua, Sep 20, 2012.

 1. a

  abdallah masoud mrua New Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?
   
 2. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hapo we andika maumivuuuu
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapana hayatatoka tena, kama umekosa mkopo usikatetamaa angalia na njia zingine ndugu yangu
   
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Wangekua wanaijua ofisi yako wadau wangekuja kukupiga mawe kauli gani hii? Ngoja nitawaleta hapo wadau anaetaka kuijua ofisi yake just PM.
   
 5. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  NIMEAJILI MIGAMBO KWA AJILI YA USALAMA WANGU NA OFC YANGU NA VILIVYOMO KAKA ipcalypse
   
 6. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  NIMEAJILI MIGAMBO KWA AJILI YA USALAMA WANGU NA OFC YANGU NA VILIVYOMO KAKA Ipycalypse
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Nitakuja leo niwaone hao migambo p_prezdaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  KARIBU ILA KUWAONA NI ISSUE MPAKA ULETE NGENGE COZ WAKO INVISIBLE Ipycalypse
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...