Habari zenu wana jf,I have something disturbing my brain, mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa tanzania now niko mwaka wa pili but nimepostpone masomo kwa sababu mbalimbali na nilikuwa nachukua mkopo toka bodi ya mikopo (heslb)but for now nataka kuapply chuo kingine na kozi ingine tofauti na niliyokuwa nasoma, so nachotaka kujua je nikiomba mkopo tena naweza kupata toka bodi ya mikopo