makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 268
Wapendwa kumekuwa na watumishi wa serikali wanaolipa fedha kulipa madeni ya bodi kwa mkupuo,lakini pia wanacheleweshwa kuondolewa kwenye makato kwa makusudi na bodi kuendelea kukata fedha kwenye mshahara.
Mtumishi anapodai fedha iliyozidi inachukua siku tisi au zaidi kurejeshewa na pengine hazirejeshwi kabisa, huu ni ufisadi wa hali ya juu sana,pengine watumishi mmetuona shamba la bibi.
kama tunapochelewa kulipa deni lenu fedha yenu huwa na liba ,vip kwa huyu mtumishi ambae anasubiri kurejeshewa fedha zao zilizozidi wakati wa kulipa deni lenu ili wengine nao wanufaike kwa muda wa zaidi ya siku tisini mtampa Riba?
Mh Waziri Mkuu hapa kuna ufisadi mkubwa sana, mtu anadai laki mbili ambayo ni sawa na tofari mia mbili(200),watumishi wako wa bodi wanashindwa kusaini vocha ya malipo huu ni uhuni mkubwa,haya mambo sijui mtawajibu nini wananchi wanyonge kama watumishi hawa, wakati huo mnajinasibu ni nchi ya viwanda huku watumishi wako hawana haraka na viwanda haya mambo yanaumiza sana,
naomba kwasilisha kwa katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma,tamisemi,na katibu mkuu wa elimu na mawaziri mnaohusika ,waambieni watumishi wa bodi wasionee watu,tulikubali kuongezewa asilimia ,tunawalipa mnataka tena kuleta mizengwe no !lipeni fedha zetu,
Sent using Jamii Forums mobile app