Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Mimi ni mwl.sekondari naitwa Jickson Emmanuel Nkulikwa,napenda kupinga deni ambalo bodi mumenipa kama mdaiwa sugu.Je diploma mlianza lini kutoa mkopo? Nimesoma kwa kodi za baba yangu naomba mfute jina langu ktk kitabu cha hukumu.
Pia Natumia fursa hii kumshauri Rais Magufuli kuichunguza bodi ya mikopo na ikiwezekana aitumbue kwani tumeandikwa wadaiwa hewa nikiwemo Mimi. kama walikula wawe wazi tuwadai au wanikopee ukweli kama uongo nipeleke mahakamani niwaburuze
Mbona hamjiandiki majina yenu. sitaki kuandika mengi mtasema mchochezi ila silipi na sitalipa ,Raisi wabane bodi ya mikopo kwa majina hewa hela mle ninyi nilipe Mimi? Sina shaka na maelezo yangu ,contacts 0757658783.