Wadaiwa sugu na bodi ya mikopo, je kweli ni wadaiwa sugu?

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,519
1,462
Wanajamvi habari za humu ndan......

Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuona siku ya Leo maana ni wengi waliotamani kuona lakini hawakuweza kuona kwa sisi tulioweza kuona hatuna budi kumshukuru,

Kwanza kabisa niwape pole wanafunzi wote wa vyuo vikuu waliokosa mikopo na pia niwape hongera wale ambao wamebahatika kupata kwa sababu kupata mkopo sahivi imekuwa kama Bahati na sibu,

Vilevile nipongoze Bodi ya mikopo kwa kutoa taarifa sahihi kuwa pesa iliyotengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuwa imeishaaa labda wanafunzi wasubiri Budget ijayo,

Pia niwashukuru kwa hatua wanaochukua dhidi ya wadaiwa sugu,ambao wamefaidika na mkopo huo kipindi cha masomo yao,

Swali ni je kweli ni wadaiwa sugu???

Je kurejesha mkopo ni jukumu la mnufaika au aliyekukopesha kama jina lako lipo kwenye system ya utumishi???

Kuna watu wamekatwa moja kwa moja baada ya kuingia kwenye system ya utumishi bila kupeleka taarifa zao,sasa wanashindwa nn kukata ambao pia wako kwenye system ya utumishi???

Kwanini ifike hatua ya wao kujisalimisha na wakati wameajiriwa na serikali na mishahara wanalipa wao????

Kwanini wanashindwa kuchukua pesa yao???

Kuna majina ya miaka ya nyuma 1990,hadi 1996 pengine hadi 2000 je Muda wote huo Bodi ya mikopo ilikuwa wap?

Kwanini waanze kufuatilia wadaiwa sugu Baada ya serikali mpya kuingia madarakani??

Serikali haioni kuwa Bodi ya mikopo nao ni jipu kwa kutofuatilia wanufaika mikopo kurejesha??

Pia,
Waliochelewa kukatwa wameongezewa deni(penalty) je ilikuwa kosa la mdaiwa kutokukatwa??

Mfano walioanza kazi mwaka juzi na moja wao akakatwa mwaka huo huo na mwingine kukatwa baada ya mwaka wanalipa deni tofauti,
Je kwann aongezewe deni wakati kosa si lake??

Hivi vitu vinaumiza sana ni vizuri BODI YA MIKOPO kujithmini upya na kutoa utaratibu upya,

Kama mtu yupo kwenye system ya utumishi haina haja ya kumwongezea deni kwa kudelay kulipa(penalty)

Karibuni tujali,
 
lakini si kweli kila aliyepo kwenye utumishi ni mnufaikaji wa mkopo kuna wengi tu wamejisomesha wenyewe
 
Tusiangalie tu bodi,tuangalie na uadilifu wa wakopaji
Wewe umekopa,bahati nzuri kazi umepata,lakini hukatwi kwa nini usiende bodi wakuingize kwenye mfumo ukatwe deni lako?
 
Back
Top Bottom