Ndugu wana jf kuna ndugu yangu alikua anaomba mkopo ila katika kujaza form online amekutana na utata huu
1.Ukitumia browser ya moxilla firefox -upande wa kuselect district mtu anatokea inagoma haioneshi mpaka utumie google chrome
2.ukifika kwenye section ya wazamini ukitumia browser kama moxilla firefox,operamin,internet explore na google chrome -kuna sehemu inasema pick your guarantor na upande wa pili kuna kiduara na neno mother kama mdhamini ambacho huwez kukibadili ili uweke mdhamini unayemtaka .
Kama kuna mtu amekutana na changamoto hii atujuze ili tuone tunalitatua vipi
N:B help desk support hua sim hazipokelewi