hapo kwenye red usipotoshe watu Innoexp,hayo majina yaliyotoka sasa ni wale first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons:Hapo jana tovuti ya heslb wametoa majina mapya ya waliopata mikopo yacyozidi mia 2 kwa chuo kimoja,
HONGERA KWA WANASCIENC MLIOPATA
Nasema hivi nkimaanisha kama wewe ni facult za social scienc na biashara ucangaike kutafuta jina lako maana hautalipata na c kwamba limesahaulika lah hasha,ila jbu unalo.,
Kwa mtazamo wangu cjaona sababu nyingne ilyowafnya bod kutoa majina haya machache namna hii tena kwa facult chache ila 2 kuwatenganisha na kuwapunguza kasi wale waliokua mstar wa mbele katka kudai mikopo yao,
Sasa jamani ivi wewe ambaye umepata mkopo sasa iv ni kwel utakaa kmya sasa na kuwaacha wenzako uliokua nao katka mbio iz za kusaka mkopo et 2 kwa sababu we co mhanga tena,???kama jbu lako ni hapana (genuine) bs kwel 2endelee kufatlia ishu hi mpaka ktakapo eleweka pale wizara ya elimu,
NIC DAY 2 U ALL
Wahuni tu! Watu wa budget exhausted hamna aliyepata!
kundi lilobaki ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote baadha wamepata. hata wa bajet wamo
Mbona bodi hawataki kutoa maelezo kwa kundi hili watuambie basi lini walitupa mkopo na chuo kipi. Mana wanatuchanganya.
Kama yupo mhanga mwenzangu wa kundi hili au anae fahamu naomba anipe maelezo,nijue nifanye nn.
nilkosea, kumbe yuko jamaa yangu tulikua wote kundi hili yeye amepata. jambo la msing alilofanya huyu jamaa alipeleka barua ya malalamiko mapema.
hyo barua ilikua na maelezo gan,wasaidie wenzio wajue wapi pa kuanzia?
inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika
inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika