Bodi ya Mikopo Tanzania ni jibu linalotakiwa kutumbuliwa

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
598
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi.

...kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.

Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi hataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..

bodi ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
Hiyo ni kweli kabisa, fikiria kwa mfano mwanafunzi aliyekuwa mwaka wa kwanza 2015 akisoma digrii ya Electrical and Electronic Engineering aliyekuwa akipewa mkopo 100% lakini ndani ya mwaka huo mmoja wa kwanza alibadilishiwa viwango vya mkopo mara mbili kutoka 100 ikawa 50% na hatimaye 30% na baadaye mwaka ujao wa 2016 amefutiwa kabisa mkopo, hii ina maana gani kwenu nyie mnaoendesha bodi hii ya mikopo? Au ndiyo kick na janja yenu nanyi ya kupiga pesa?
 
Chuo cha nit na udsm washatoa majina machache mno na hayo machache ndo kwa ubaguzi huo
 
Mie pia ni mhanga mkubwa wa utendaji wa kibaguzi wa taasisi hiyo. Wakati nasoma nilikuwa katika makundi ya kupewa A (100) lakini niliishia kupewa C (60%) na nilivyojitahidi kufatilia siku moja nilikutana na afisa aliyenijibu majibu ambayo siwezi kuyaandika hapa ila siwezi kuyasahau, namwombea Mungu amlipie sawa na alichonijibu.

Hii bodi napendekeza ivunjwe labda na iundwe upya make pale yote ni majipu
 
Pale bodi ya mikopo kweli kuna ujinga,nilikuwa pale alhamisi na Ijumaa.Ukieleza shida zako unambia jibu la mkato ambalo litakufanya either ukasirike ili usiendelee na kilichokupeleka pale au unajibiwa jibu la kukufariji ili uondoke na matumaini ilihali hakuna kitakachobadilika.Kwa kweli hili JIPU likichelewa kutumbuliwa linaweza kusababisha ULEMAVU wa kudumu,maana nimevimbia PABAYA SANA.
 
Sasa huo utakuwa ni wivu mzee sasa unataka wenzio wasipaye ndugu cha msingi na sisi tukazanie tupate bana aliyepata kapata kama kwenu yamekuja hata majina kadhaaa mshukuruni Mungu jamani nyinyi wenzenu hata moja tu
 
We unayesema ni wivu hujakumbwa na huu ubaguzi wa wazi ....ubaguzi ni wa kukemea kwa nguvu zote.. haiwezekani mtu una vigezo vyote na kozi unayosoma ni priority wakunyime halafu ndugu zao na watu wanaotoa mlungula na hawasomi kozi za priority wapate...yatima , walemavu na wanaosoma priority wanadhalilishwa hadharani halafuT unasema ni wivu??Tuacheni ushabiki watu wana imani na serikali mpya inaweza ikawa mkombozi wa wananchi wanyonge wasiokuwa n sehemu ya kufikisha kero zao. Kwa ubaguzi huu wa bodi mkurugenzi ana kesi ya kujibu aisee
 
Sisi sote ni watanzania cha msingi ni kuwapa makopo wanafunz wote we don't wanna inequality....
 
We unayesema ni wivu hujakumbwa na huu ubaguzi wa wazi ....ubaguzi ni wa kukemea kwa nguvu zote.. haiwezekani mtu una vigezo vyote na kozi unayosoma ni priority wakunyime halafu ndugu zao na watu wanaotoa mlungula na hawasomi kozi za priority wapate...yatima , walemavu na wanaosoma priority wanadhalilishwa hadharani halafuT unasema ni wivu??Tuacheni ushabiki watu wana imani na serikali mpya inaweza ikawa mkombozi wa wananchi wanyonge wasiokuwa n sehemu ya kufikisha kero zao. Kwa ubaguzi huu wa bodi mkurugenzi ana kesi ya kujibu aisee
kweli kabisa mkuu... tunahitaji haki ktk hili swalaa
 
Mimi sijaelewa hii bodi ya mikopo. Kwa nini kila chuo kisiwe na budget?Bodi ipeleke hela chuoni kwa idadi ya wanafunzi kwa usawa. Wanafunzi wakifika wapewe hela zao? Hapo hapo chuoni wasaini mkataba wa mkopo.
 
Bodi hutoa mikopo kulingana na fedha waliopokea toka hazina. Ikichelewa hawana jinsi. Kipekee naishukuru bodi kwa kunipatia mkopo hadi kumaliza masomo. Nilijaza bila kukosea pia ufaulu wangu ulikuwa nzuri kozi haikuwa priority
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi.

...kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.

Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi hataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..

bodi ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.

jipu sio jibu
 
Rais Magufuli naomba hata kesho nenda heslb ukatumbuwe majipu maana ukiyaacha yataharibu system nzima,
 
Back
Top Bottom