Bodi ya Mikopo na tume ya kukusanya maoni.

Msouth

Member
Apr 21, 2011
15
0
Wana JF vipo vitu ambavyo ukitumia muda wako mwingi kuvitafakari unakosa majibu. Hivi karibuni tulisikia kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni katika vyuo vikuu kama suluhisho kwa matatizo ya mikopo kwa wanafunzi. Ninachojiuliza haya maoni yanakusanywa wapi? Mbona kimya? Mwisho wa hii tume nadhani ilikuwa mwezi wa 4. Vipi kuhusu ushirikishwaji wa wanafunzi wote mbali na kuonana na viongozi waandamizi katika vyuo? Binafsi nachanganyikiwa ninaposikia hata hiyo mikopo ya wanafunzi inakopwa mahali ili kuwakopesha wanafunzi. Jamani Tume msije kuwa 'gamba'. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom