Mshahara wa jan ulikatwa hiyo %? Kuna wengine hawakukatwa ila nafikiri mwezi huu lazima waface the devil...Imeanza January mkuu..
Mi sina uwezo kipesa wa kufungua kesi peke yangu na si mwanasheria, ndo maana natafuta watu wenye nia tufungue shauri mahakamaniTanzania ina wajinga wengi sana, tunashinda kulalamika mitandaoni tuu. NENDA MAHAKAMANI WEWE, KUWA KAMA MTIKILA (RIP).
Aiseh! Hizi baraka zilipitishwa na bunge letu hili!Naomba kujuzwa na wadau wa elimu na sheria, hivi katika mkataba na hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu, kubadili makato kama wanavyopenda wao hakuna namna ya kuungana tukawashtaki kwa kukiuka mkataba maana wengi tuliingia kwa kuvutiwa na makato ya 8%?? Au waliweka kipengele cha kubadili mkataba kwa namna wao watakavyoona? Nauliza hivi kwa vile mkataba wangu ulipotea kipindi nahama nyumba ya kupanga.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sina uwezo kipesa wa kufungua kesi peke yangu na si mwanasheria, ndo maana natafuta watu wenye nia tufungue shauri mahakamani
Wabunge wetu,hawatutetei wananchiMkuu bunge lililidhia 15% toka January ndo kinachotekelezwa
Bado,inasemekana unaandaliwa mswaada irekebishwe hii sheria ya hovyo,ya kibwege na kinyonyajiHivi imeshaanza kukatwa kwa wote hii?