Bodi ya mikopo na Makato mapya

Bodi ya mikopo na Makato mapya

January hawajanikata 15%. Mi kwangu yote hewala. Wakinikata 15%, June namalizana nao HESLB. Wakiendelea kukata 8% December au January 2018 namalizana nao!
Duuu hingera mkuu wengine tulikuwa hatukatwi na hatimae tumenaswa mwaka huu hadi liishe hilo deni ndani yake kuna penalty,Mungu tu ndo anajua
 
Ndo maana makonda anavyo wadharirisha hawa jamaa (wabunge) me naona ni sawa tu.. unapitisha vipi mambo kama haya ya kutesa watumish wa umma.. kupitisha hiyo kitu ni kudhalilisha watumishi.. watu wanaishi kama madigidigi sasa..
 
hv huo mkopo unakuwaje maana ndani yake wamejumrisha penalty pia wamejumrisha retention fee, hii haieleweki kamwe! mwenye ujuzi na hii kitu retention fee naomba kujurishwa tafadhari!
 
Acha Maneno, Lipa MKOPO (in Darassa's voice). Ulikopa kusoma BA in Kiswahili what do you expect?
Viroba hiv ni shida tupu. Ona huyu alivyokunya humu
Vipigwe marufuku tu hakuna namna. Ndiyo maana watu wamekuupuza hawana time kuhangaika na wajinga km ww
 
Back
Top Bottom