Edward Aloyce Gerem
Member
- May 24, 2015
- 19
- 10
Body ya mikopo mwaka 2017/1018.ilitoa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza .Kulingana na mfumo wa uombaji wa nafasi za chuo kwenye vyuo husika...hii imepelekea wanafunzi wengi kupata multiple selection (kuchaguliwa zaidi ya chuo kimoja)
Halii hii ilipelekea heslb kupeleka pesa Kwenye chuo ambacho ni cha kwanza kumchagua mwanafunzi husika .
Hivyo pesa ya wanafunzi hawa ilipelekwa vyuo ambavyo vilikuwa vya kwanza kumchagua .Mbali na hapo kwa sababu mwanafunzi alikuwa anauwezo wa kuchagua chuo gani aende ikiwa amechaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja hivyo wanafunzi wengi waka thibitisha kwenda chuo ambacho heslb haijapeleka pesa take ..toka tarehe 28/10/wanafunzi hawa wamefika kwenye vyuo walivyo pangiwa huku hawana pesa na kuna baadhi ya vyuo mpaka sasa bodi haija wapatia pesa zao hawa wanafunzi japo ...changamoto hapa in kwamba
-Wanafunzi hawa wanaishije huko walipoo
-Kama baso no link hawa wanafunzi watapewa has a pesa zao
Wadau wa elimu nimelileta kwenu yawezekana mkafanya jambo zuri na mambo yakawa vizuri kwa wanafunzi wengi was mwaka qa kwanza tanzania