KAUZUDAGAA
Member
- Sep 24, 2012
- 36
- 4
Huyu kauzu ametokea fb ndo analeta mambo ya facebook hapa tumfukuze au tumripoti kwa mods kwani mkiangalia ameanzisha thread za upuuzi mwini hapa mara mwana udom aliyepinda, mara maindi mfagio na jembe chuoni nakushauri ndugu yangu kama hauna cha kuandika usinzie au ntakuripoti kwa mods sasa iv wa kupge ban.

Huyu jamaa inabidi tumreport apigwe BAN hayuko serious!
Source Mimi mwenyewe
Source Mimi mwenyewe
Kama nani pale HESLB?
Join Date : 24th September 2012dah ndugu yangu karibu sana jf....ila huku hatuendi kiivo kuwa na facts...sio unaandika ujinga ujinga tu...by the way karibu sana jf jukwaa huru na u control domo lako ipasavyo!!!!!
Posts : 13
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0