Bodi ya mikopo kutoa upya mikopo tar. 25/9/2012

KAUZUDAGAA

Member
Sep 24, 2012
36
4
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu imetangazwa kuwa watatoa upya list ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa kugawa kama ifuatavyo
BOOKS & STATIONERY
MEALS & ALOWANCE
FIELD ALOWANCE
SPECIAL FACULTY na
SKULI FEES.
Nawasilisha hoja.
 
Mkuu mbona cjakupa nikwamba watatoa mwongozo kwamba ktk amount uliyopata,lets say meals and accmdtn ni sh ngapi,stationary ni sh ngpi,fiel na vingine au ni kwamba watatoa majina yawaliopata mkopo kwa upya kabixa
 
Huyu kauzu ametokea fb ndo analeta mambo ya facebook hapa tumfukuze au tumripoti kwa mods kwani mkiangalia ameanzisha thread za upuuzi mwini hapa mara mwana udom aliyepinda, mara maindi mfagio na jembe chuoni nakushauri ndugu yangu kama hauna cha kuandika usinzie au ntakuripoti kwa mods sasa iv wa kupge ban.
 
ushamuona eee..
Katoa thread nyingine anaulza sare za chuoni..:D
 
Huyu kauzu ametokea fb ndo analeta mambo ya facebook hapa tumfukuze au tumripoti kwa mods kwani mkiangalia ameanzisha thread za upuuzi mwini hapa mara mwana udom aliyepinda, mara maindi mfagio na jembe chuoni nakushauri ndugu yangu kama hauna cha kuandika usinzie au ntakuripoti kwa mods sasa iv wa kupge ban.

Huyu jamaa inabidi tumreport apigwe BAN hayuko serious!
 
is it true kwamba huyu mtu kajiunga jf jana
Member Array

Join Date : 24th September 2012
Posts : 13
Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0
 
Join Date : 24th September 2012
Posts : 13
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
dah ndugu yangu karibu sana jf....ila huku hatuendi kiivo kuwa na facts...sio unaandika ujinga ujinga tu...by the way karibu sana jf jukwaa huru na u control domo lako ipasavyo!!!!!
 
poa bana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom