Bodi ya mikopo itatuua watumishi

Bodi ya mikopo itatuua watumishi

Kuna mijitu inanikera mie,hakuna mtu aliyekataa kulipa deni,mbona hapo awali walipokuwa wanakata hyo 8% hakuna aliyelalamika? Tatizo linakuja hyo 15%haipo kwenye mkataba na kama kukata hyo makato yao mapya wangeanza na hawa wa mwaka huu,wakasain mkataba mpya wa hyo 15%.Ifike pahali watanzania tusiwe tunasapot ujinga jamani eti kisa wewe hayajakukuta,naamin huku tuelekeapo kila mmoja ataguswa kwa namna yake,hakuna kupandishwa madaraja,hakuna increment, hakuna uhamisho,MAKATO FULL,Inauma sana jamani

mkuu kuna retention fees na penalty sijui hii imekaaje
 
Back
Top Bottom