Bodi ya mikopo isilipishe ada kwa waombaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo isilipishe ada kwa waombaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Mar 15, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Binafsi sioni mantiki ya kulipisha ada ya maombi ya sh elfu 30 kwa waombaji wa mikopo kwenye bodi ya mikopo ya wanafunzi. Bodi hii inagaramiwa na serikali hivyo haihitaji kuwakamua wanafunzi hawa ambao wengi wao wanatokea familia masikini. Bodi inapata zaidi ya bilioni 2 kama ada ya waombaji, hela ambazo ukiongeza na ruzuku wanayopata serikalini, zinachochea ufisadi kwa bodi hii yenye utendaji mbovu.
   
Loading...