Hawa jamaa wa Bodi ya Mikopo hawako serious... Mimi nimekuta jina langu.. la mdogo wangu la Baba yangu. Sasa sijui huyo mzee nae wanamdai kwa kusoma lini. Ofisini kwetu wameshafika zaidi ya mara tatu, na kila wakija wanauliza maswali yaleyale, lakini pesa hawakati.
Lakini swala la kujiuliza, kodi ya zaidi ya laki laki kwa mwezi, kwa miaka 5 bado tu sijalipa hilo deni? kaazi kwelikweli.