Bodi ya mikopo imepata wapi mamlaka haya?

Hawa jamaa wa Bodi ya Mikopo hawako serious... Mimi nimekuta jina langu.. la mdogo wangu la Baba yangu. Sasa sijui huyo mzee nae wanamdai kwa kusoma lini. Ofisini kwetu wameshafika zaidi ya mara tatu, na kila wakija wanauliza maswali yaleyale, lakini pesa hawakati.
Lakini swala la kujiuliza, kodi ya zaidi ya laki laki kwa mwezi, kwa miaka 5 bado tu sijalipa hilo deni? kaazi kwelikweli.

Hii sheria ukiisoma inaonesha kuwa anyone who has not been entered into contractual agreement with the Board is not eligible to pay. Kinachofanyika sasa ni uhuni tu na hawa jamaa hawana legal grounds za kum-sue mtu ambaye hawakumkopesha. The aggression shown by Board will not serve them well. Wakimpata mtu serious akawapeleka mahakamani watapoteza legitimacy hata kwa wale wa 1994 to 2005 wanaolipa ambao hawakukopeshwa na Board.

Fungua LINK http://www.heslb.go.tz/index.php?op...nts-loan-board-act&id=7:publication&Itemid=43

then soma sheria yenyewe. Concentrate hasa PART IV OBLIGATIONS, ELIGIBILITY AND LIABILITY
 
Back
Top Bottom