Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

Mpatuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,333
Reaction score
3,714
Habari wanajukwaa,
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
 
Jamani hebu mnisaidie uzoefu wenu katika hili?
 
Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki?
Hio sijajua ndugu yangu checki Mastercard foundation wanatoa scholarship ndani ya baadhi ya vyuo hapa EA
 
Habari wanajukwaa,
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
Nenda kwenye website ya search guidelines for postgraduate students vigezo vya kupata mkopo ipo
 
Back
Top Bottom