COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Kwa wale ambao hawajapata "certificate of clearance" kwamba wamemaliza mikopo yao, tafadhali nenda HESLB ukaangalie unadaiwa sh ngapi, mimi nimeenda baada ya kuletewa "Outstanding debt 11.5 M" na HR wetu. Mambo mawili yamenistua;
-Kwanza nilikuwa nimekatwa for 2yrs but only 3months zilikuwa recorded lakini wali-reconcile baada ya mimi kutoa salary slip zangu.
-Pili, kuna kitu inaitwa "Value retention fee" ambapo wanapiga 6% of what you were given in that particular year times number of years passed until you began re-paying of the loan.(see attached photo)
-Nimeuliza mbona hii (value retention fee) haikuwepo kwenye contract? nikajibiwa sheria ilifanyiwa marekebisho 2014, So the law is acting RETROSPECTIVELY!
-Additionally kuna 10% penalty na 1% Administration fee!
NB: Kile unachokiona kwenye salary slip kuna uwezekano mkubwa sicho unachodaiwa, mimi nilikuwa inaonyesha nimebakiza 2M but niliyoyakuta yamenistua.
"Hapa kazi tu!"
TAZAMA VIELELEZO HAPO CHINI