Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,697
Reaction score
39,154
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2

Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi

Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe wakati alimiliki mipira 58%

Sababu nyingine ni kuwa Simba alinyimwa penalties 3 kwenye huo mchezo na wazee wa Simba waliitisha mkutano na kutishia kumuua mwamzi

V.A . R iliwabeba Waarabu

Pia GSM amethibitika anadhamini waarabu na pia bahasha walipewa waamzi na kipa wa Simba Camara alipata bahasha yake
 
N
Na Jua lote hili umekunywa wanzuki, dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…