Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,904
Hii bodi iliinufausha yanga zaidi kuliko Simba kwa hiyo Simba hatuna hata habari mbwa kala mbwaZa ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Mtajuana wenyewe huko, si mlisema mambo mepesi tuendelee kuvuta subra, karne ya 21 mnaleta mambo zama za maweHii bodi iliinufausha yanga zaidi kuliko Simba kwa hiyo Simba hatuna hata habari mbwa kala mbwa
Aliye na mamlaka ya kuwaweka pale ndio huyo mwenye mamlaka ya kuwatoaNani ana mamlaka ya kuivunja bodi ya ligi?
Aliyewaweka ni vilabuAliye na mamlaka ya kuwaweka pale ndio huyo mwenye mamlaka ya kuwatoa
Aliyewaweka hapo ni viongozi wa vilabu vya ligi kuu na championship,je ndio hao waliowatoa?Aliye na mamlaka ya kuwaweka pale ndio huyo mwenye mamlaka ya kuwatoa
Tuhuni huni twa simba aka kolo fc.Hakuna bodi hapo ni tujamaa flani tuhuni huni tu
Yote Sawa lakini aibu ya mwisho ni nyie kuleta Timu uwanjani. Kama mna msimamo msilete Timu! Kwani Bodi kuondolewa ndio Sheria zitakua zimefuatwa! InsaneZa ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Bodi ya remote tena remote kaishika Mangungu🤣Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Ni Tanzania pekee Mtu akiaharibu anakomaa hajiuzulu na anatetewa na Karia.Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Achana na hiyo kenge wahed.Aliyewaweka ni vilabu
Aliyewaweka hapo ni viongozi wa vilabu vya ligi kuu na championship,je ndio hao waliowatoa?
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Hapo kwenye bold inaonyesha unaandika kishabiki hivyo habari yako inakosa sifa ya kuaminika.Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi