BODI ya IT & COMPUTER SCIENCE PRO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BODI ya IT & COMPUTER SCIENCE PRO.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mirindimo, Jun 1, 2011.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 501
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Nina jazba sana kutokana na dharau zinazooneshwa wazi wazi katika fani ya computer science na IT nafikiri umefika mda sasa na hizi fani kue na standards zinazoelekeza viwango na utaalam na kusimamia kazi zote za IT/Computer science katika organizations!!!!!!! Ndio maana mnashuhudia website zenye interface MBOVU,hakuna standard maalumu inayosimamia hivi,pia mishahara ya watu wa IT mi BOVU,na wengi wanaishia kufanya kazi za kuinstall EFD huku wachache wakifaidika!!!!!!!!!!! na mengine mengi mabovu mnayaona,mnayasikia ! kama bodi hii ipo naomba nijulishwe,kama haipo hili jopo la wataalamu linasubiri nini the world changes very fast.:pound: Nawasilisha hoja.
   
 2. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 501
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Mkuu Bodi hiyo haipo!! Ila serikali nasikia ilikuwa na mpango wa kuanzisha kijiji cha wanasayansi!!!.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Mkuu kusimamia kazi za IT kwenye oganisation mashirika sio lazima bodi. Ndani ya kampuni au shirika ni wajibu wao watu wa IT kutoa tendar zenye specifatcation ya hivyo viwango. Kama TBC wanataka watengenewe Tovtu inabidi waspecify ifuate standard gani eg

  • HTML5. au HTML 4.1
  • DTD transitionl
  • Kutenganish CSS na HTML
  • Dynamic au Static
  Maabo kama haya hayaitaji organisation ni kampuni tu kuwa na wataalamu wa kuandika mahitaji sahii. Kama kampuni au shirika halina mtaalam bora likodi consultant ambaye atawaadikia mahitaji yao amabyo ndiyo watayotumia kutafuta developer.


  So kwangu mimi ingawa bodi unayosema ni ya maana bodi hiyo haiwezi kuleta mabadiliko.kama wataalam wa IT hawatabadilika jinsi wanavyo tafuta au wao wenyewe waavyfanya kazi au wanavyoadika tender zao za mambo ya IT.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,854
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Ishu ni kuwa makampuni mengi ya IT Tanzania ni ya wababahishaji! Awataki employ watu wawalipe vizuri matokea yake wanachukua vijana wa F4 wanawafanya mafundi bila kuwa na ujuzi wa kazi,mfano hizo EFD za TRA mafundi wengi awana ata diploma za IT.hii ipo ata ktk makampuni karibuni yote ya Wahindi apa Tanzania
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  But unajua kwenye hii filed ya IT kama fundi wa gereji. Pactical experince ni ya muhimu zaidi kuliko cheti. Jap kunatakiwa kuwa na balansi lakini bnasfi na kacheti kangu nimewaona wahindi nawazidi elimu lakini wako njema sana kwenye haya mambo ya IT.

  Ni kama sisi watznaia wengi tunasomea kuwa managers wa IT department wenzetu Akimaliza six anaweza kuchukau cheti cha CISCO the akachukua cheti na MSCE then akaaanzakynaya kazi. Hapo nakwambai mtu aliyemaliza chuo mwenye degree ataona nyota tuuuuuuuuuu.

  Sisiemi watu wasisomee degree lakini kunahitajika balansi kati ya Educatio qualification na Training qualification . Mtu ana degree ya IT anakwenda kuchukua master wakati hana hata certification yeyote ya network au Database au OS. Wahidni wao mbali kwenye IT sababu ya Training na sio education za three years vyuoni.
   
 6. mazd

  mazd Senior Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @mtazamaji mkuu 5 stars!-sisi waTZ wengi tunalalamika eti hatuajiriwi na wakati mtu ameshabomoa mabanda hadi master na kuajiria watu wa mitaa-mimi naunga mkono wanaoajiri wana mitaa waliobobea na katika vitenda vya it na kuwaacha wenye magamba na mathiori vichwani.bodi ya kusimamia IT ni muhimu na italeta mabadiliko-kwani kwa wenzetu ilete na kwetu ishindwe.
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hii kitu ipo nafikiri ipo chini ya tamisemi kuna mradi wao wanaita "serikali mtandao" na walikuwa na vipindi itv 2007 na pia kuna wakuu kama mchambuzi wa mifumo ya computer tz (systems analyst) ni muhuni flani hivi nilimuona siku hiyo akiongea kwenye series ya vipindi vyao itv.. sijui hii projrct iliishia wapi au type za ict policy 2002, mkukuta
   
 8. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nadhani inabidi ufuatilie, ni tatizo la dunia nzima. IT industry haina standards ambazo zinafutwa, au ethics, ndio mana still kuna debate kama whether IT ni profession au sio?
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naomba tunapo andika tutoe maelezo ya kuto zaidi juu ya tunacho kizunumza ili tuweze kuwa na mjadaka mpana zaidi na sio kuonge jujuu.
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili nimethibitisha mwenyewe kwa macho yangu..na cyo story.ur ryt kabisa.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2046874

  Redsilverdog are you serious kuwa hakuna standard.? Mi nadhni Standard zipo sema zinaaa zinabadilka. its just not like Law or accounts or Medicine.

  Mfano Kuna standars nyingi tu kama

  • Web- kuna standard na specificatin za Acesscibility , usability, Security, HTML CSS etc refer to WCAG Overview

  • Network- Zipo standard za OSI , Protocol, Security, Error corection and dtection , etc


  So standars zipo sema kwenye taaasisi nyingi kama bongo hakuna specifiic policy watumie Standard gani?

  Challegeya IT ni kuwa standard eg ya web development iliyotumika mwaka 1990 inaweza kuwa haikubaliki sasa. Lakini kwenye accounts au medicine au law standads za mwaka hata 1970 bado ziko applicable hadi leo.

  Yes nimeoa kuna watu wana degree za IT wako kazini zaidi ya mwaka na bado hajui crimping toool. Yeye anavaa tai anajiita network administrator kazi yake ni create na kudisbale user. Likitokea Tatizo dogo hata AP imeungua adaptor anapiga simu kwa wahindi kuwa hapati internet. hajui hata configuation ya AP. Hajui kutrobleshoot network

  Sasa unakuta graduate network administrator wa serikalini anapiga simu anakuwa supported na mwenye diploma kwa wahindi. So funny lakini ni ukweli. Nimeshaona hii . Inabdi tukaze buti wazeee
   
 12. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lakini nani yupo kuensure zinafuatwa. jaribu kuvalidate website kubwa kubwa ku2mia HTML validator halafu angalia ngapi zitapasi bila kuwa na errors. Standards kila mtu anazake haijulikani exactly zipi ifuatwe, there is no agreement onw which standard to follow. Wangapi wanafuata ethics za IT? Counter terrorism? iphone advertising scheme?
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Redsilver kuwa na error ni just feedbakc but lazima BBC au CNN wakati wandevelop website wanafuataa standard fulani kama benchmark. Dereva kupata ajali ya gari haina maana hana leseni.
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Hakutakiwi kuwa na kitu kama hicho, kila organization inabidi wafanye quality control na kupanga requirements yao wenyewe hatutaki bodi itupangie kipi ni sahihi na kipi sio sahihi. Kama serikali inataka kuweka standards kwa ajili ya serikali hiyo sawa.

  Bodi ya aina hiyo kama ina nguvu za kisheria itakuwa ni kikwazo kikubwa katika mabadiliko ya technolojia. Pia Certs zina matatizo yake, watu wanakremu kwa ajili ya cert a couple of weeks anapata cert kichwani hakuna kitu.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Yes hapo tuko pamoja. Sasa kampuni inataka kuengenezewa website haiandiki requiment vizuri. But kwenye hizo wizara kuna watu wamegradute. Unaweza kuandika Tender au requiremnt za tovuti unayotaka developer atengeneze. but ukiandika document bila kumpa standard yeyte mtaalam ndo atamua nini atumie nini asitumie wich is wrong.

  And this always happen kwa sababu Kama bongo watu wengi na developer wengi wana develop system eg TOVUTI bila kufuata system development process. No requirement definition , No requirement specification etc
   
 16. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 501
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Hebu tuwekane sawa hapa,ninapozungumzia bodi namaanisha kama ile ya wahasibu-NBAA,ya constructions ambapo kampuni haifanyi kazi mpaka iwe registered kule....yaani kue na taratibu fulani zitakazo to mwongozo wa utendaji sio kama sasa hivi IT/Computer science hata kibanda cha mtaani mtu akishajua kuingiza nyimbo kwenye simu anajiita fundi computer,mtu kasoma vyuo vya nyuki nae anataka aitwe IT pro,au Comp Pro.:pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound:
   
 17. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2014
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  kijiji cha wanasanyasi ndio kipi hicho??
   
Loading...