Huwa wanakuonesha na vitambulisho vyao vya kazi?Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Wapi nimesema bajaji imetumika miaka sita?Mkuu bajaji iliyotumika Kwa miaka Sita unasema bado mbichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujui mkopo wa mil 8 Kwa ticha ni deni la miaka kumi Kwa riba ya million Tatu
Tunakoelekea itatulazimu kufanya kazi zaidi ya mojaWalimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Ooohoo pameguswaTulia mtendaji wa kata
kosa lao nini?Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Maladhi = malazi. We jamaa ni mshamba na una roho ya kimaskini mno. Umeshapata mtu wa kumpa kinyeo akulipe milioni 50?Hii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka
Walimu walimu walimu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huyo Mpwayungu ukiwa na milioni 50 anakupa kinyeo. Kauli yake hii hapa. Ni fukara.Itakuwa maticha walikula ndogo Yako,siyo Kwa povu hilo
Hii comment yake inaashiria Mpwayungu ni chakula.Itakuwa walikula ndogo yake
Naunga mkono hoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]binafsi nawajua wawili ni majirani zangu kabisa mmoja nilikutana naye njiani usiku wa saa tano natoka lodge nikaita boda kumpakia demu alipofika nikastukia ni yeye ila hakunitambuaWalimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Kapouwa siku hizi baada ya wadau kumpiga spana kwa ushahidi kuwa yeye ni mwalimu anayesubili ajira akaona atulie wasije mdharirisha zaidi ya hapoNilikuwa naisubili comment yako hapa, ila angalau kidogo umepunguza ukali
Wamejiongeza kibwege, mwalimu ni mtumishi wa umma inabidi wademand haki zao kwanza wakizipata waanze harakati za kufanya biashara zenye tijaHapana sio kweli La kama ni kweli mpwayungu village aje atueleweshe...
alishaleta uzi hapa kwamba bodaboda anauwezo wa kuingiza kipato zaidi ya mwalimu!!!
mpwayungu village zile bodaboda ndio hizi za usiku wanazopga walimu??
au wamejiongeza baada ya kusoma bandiko lako.
Hhhahaha uko sahihi mkuu hutajutiaNilikuwa mwalimu, nilikuwa nafundisha pale Mawe Matatu, Misungwi. Nikaona ualimu na walimu ni mburula, nikaacha.