Bodaboda wa usiku wengi ni Walimu

Bila walimu usingejua kuandika, acha masimango.
 
Nilijua lazima uje tu, na inawezekana pia muanzisha Uzi ni wewe, hivi Walimu wetu walikufanya nini Mkuu?
 
Hii ni mpya ila kule Ntwara kuna Mwl Maprosoo anayechoma na kutembeza mishikaki mitaani mida ya jioni baada kazi.

Atakuwa na miaka 20 kwenye ajira kwa sasa na 11 akiwa Mwl Mkuu.
Duuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna mbaya, namjua mwalim alikopa 8 million akanunua Bajaj, anaendesha mwenyewe, mkopo kamaliza bajaji bado mbichi
Mkuu bajaji iliyotumika Kwa miaka Sita unasema bado mbichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujui mkopo wa mil 8 Kwa ticha ni deni la miaka kumi Kwa riba ya million Tatu
 
Kumbe ndo maana wanaweza kuyamudu maisha ya dar

Nilikuwa najiuliza kwa laki 3 wanawezaje kutoboa mwezi mzima

Kumbe wanapata 30,000 kila siku kwenye bodaboda

iLa kitu ambacho sasa kinanishangaza kutoka kwa hawa majamaa ni kula hv vitoto vya primary,huwa nashangaa nikifika kwenye hzo shule za primary nakosa kabisa kuona kitoto ambacho kitaonekana kinaweza kuingiliwa lakin jamaa wanavitafuna hvyo hvyo,sjui wanatumia kilainishi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…