Bodaboda mbili zinauzwa!

Bodaboda mbili zinauzwa!

Nguvu ya Hoja

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
276
Reaction score
125
Bodaboda mbili zinauzwa,zote zinafanya kazi za bodaboda jijini DSM,moja Tabata na nyingine Ubungo,namba za usajili ni BWT na CDF, mmiliki wake anahamia Mbeya hivyo anayehitaji awasiliane na mhusika,bei ni ni Tsh. 2.5m (milioni mbili na nusu kwa zote) Zingatia kuwa zinauzwa zote kwa pamoja.
Simu: 0772840880.
 
Ni aina gani? Weka hata picha basi tuone muonekano wake kwa sasa.
 
hapo kwenye nyekundu kama tunabakana hivi? mmmmmmmm machale yamenicheza
 
Ni aina ya sanmoto za kichina cc125 GN,kwa sasa nipo mbali nazo sina picha karibu,ila nitazipata baadae.
 
hapo kwenye nyekundu kama tunabakana hivi? mmmmmmmm machale yamenicheza
Kwa nini machale yanakucheza,kwa vile mhusika anahama,akiuza moja,itamlazimu kupanga safari nyingine kuja kuuza ya pili,huoni kuwa hii itaongeza gharama?
 
Back
Top Bottom