Bodaboda kutii sheria bila shuruti ni kazi sana

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Huyu bodaboda amebeba abiria wawili halafu wote hawana helmet akikamatwa eti ameonewa.
Hivi ni kwa nini hawatii sheria bila shuruti?
1476977133828.jpg
 
Hawa wanastahili adhabu kali maana faini ya sh. 30,000 wameizoea.
 
Back
Top Bottom