BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,345
Alikuwa akikatisha barabara ya mwendokasi.Boda boda kwe njia ya mwendo kas kafata nini uko
Sio DIT kabisa ni nyuma kidogo pale kwenye mataa ambapo kuna barabara ya kwenda Lumumba kama sijakosea.. Muda mwingine madereva wa mwendokasi wanadharau mataa.Pale DIT hakuna mahala njia ya bodaboda. Lazima atakua yeye ndio anakosa uyo Boda.
Sheria si ingefaa asukumeAlikuwa akikatisha barabara ya mwendokasi.
Boda boda akili hawana hata kidogo hata kwa mwenye leseni,wao sheria za usalama barabarani haziwahusu,haraka za kwao,taa si kitu,kupita njia isiyo sahihi wao.Sasa unasemaje hawana haki, mengi wanakitaka wenyewe.Mimi lawama kwao,ukiwa dereva njiani utalitambua hili kwa uzuri zaidi 🤔Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
Pengine inaweza kusaidia.. ila tatizo ni Corruption hapa Nchini mnaweka miongozo watu wanaivunja hakuna anayewajibishwa kwa sababu watu washachukua chao mapemakuna muda natamani wizara husika, ama sekta husika zingewapeleka boda boda kujifunza Kigali Rwanda. Kila dereva na abiria lazima avae helmet, na ni wasafiri wawili tuu (dereva na abiria) kwa boda boda
Pia, madereva wa magari akikutwa amelewa ni jela siku 5/7 na fine juu. Wengi hupaki magari na kutumia usafiri wa uma kwenda kwenye burudani
Ile ni Zebra ya watembea kwa miguu. Bro BabaMorgan unajua Bodaboda uwa wanajisahau kwamba wao ni chombo cha moto.Alikuwa akikatisha barabara ya mwendokasi.
Naunga mkono hoja hii kwa kusisitizakuwa bodaboda ni wapumbavu sana na hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo...wanapokuwa barabarani wanafanya mambo ya ajabu ajabu na kuhatarisha maisha ya abiria wao..Bodaboda ni wapumbavu Sana wakiwa barabarani