Bodaboda awaheshimu sheria yoyote

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,494
Reaction score
139,528
Hawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu.

Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia! Ni muda sasa kuzuia hawa vichaa. Barabara zimegeuka uwanja wa vita mbele bodaboda, nyuma bodaboda, kulia bodaboda,kushoto bodaboda yaani ni kero tu


View: https://www.instagram.com/reel/DfuBUFlKjla/?mdxt=MWowZWtldzBscG5kcQ==
 
Juzi kuna mmoja makongo juu, nimesimama kupisha wanafunzi wavuke najiandaa kuondoka naona mtu anaburuzika na lipikipiki lake limehawanyika vipande viwili vikubwa na vidogo dogo vyabkutosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…