Boda boda zisizotumia mafuta

Boda boda zisizotumia mafuta

Mimi nakupa kazi ya kunitafutia bajaji boxer iliyotumika mwaka moja inauzwa kiasi gani?
 
spare zipo.

Hako ka-bodi kenyewe ndio kabebe tani moja?. Rim na tairi naona kama haina uwezo wa kubeba tani nzima na ni nyembamba hailingani na hizi zinazotumika za petrol. Umeme ukiisha(charge) unapanda mlima na mzigo wa tani nzima itakuwaje? Agent amshauri manufacturer atengeneze zenye matumizi ya both ways mafuta na kucharge.
 
China_electric_tricycle_DSX_80_48_20086711380810.JPG

Halufai hili kwani ni la kunyonga pedal na mnyororo
hebu wekeni hilo la umeme
 
Unadhani ni ujanja kuchangia? Unajaza server bila sababu ya msingi. Sasa kama hata picha huzioni unawezaje kusoma?

Acha kunywa Viroba na Maharage,unaona sasa unaaza kujamba hovyo.
Hembu angalia post zangu ndio ujibu na kujua muda gani zimeulizwa
 
Aisee kweli we Kiboko.
Tatizo ni Bei ya Umeme ilvyojuu ndio maana unakuta no Bora kutumia ya Mafuta.
Labda ukinunua hiyo pia uuze na Sola Power yake.

lakini kwa umeme huu wa LUKU,ni Majanga

ukichaji full umeme utakaotumia ni almost units 3
 
Back
Top Bottom